Vituko mitandaoni. Tupia chako

SILDENAFIL/VIAGRA

#RETWEET Kwa Faida Ya Wengine[emoji120]

ni dawa Ambayo Hutumika Kwa Ajili Ya Tatizo La Kushindwa Kusimamisha uume[emoji533]Hupumzisha Mishipa Ya Damu na Kuongeza Msukumo wa Damu Kwenye Uume.

Viagra Huanza Kufanya Kazi Ndani Ya Dakika 30[emoji573]na Huisha Masaa 2-4
 
Dawa za Viagra Zinakuja na Vipimo Vitatu [emoji381]

25mg, 50mg na 100mg

Kidonge Cha viagra 25mg ni kipimo cha chini kabisa. Unaweza tumia hichi kipimo ikiwa Upo Kwenye Matumizi Ya Dawa Za kudhibiti VVU(ARV) au Dawa za Kutibu Shinikizo la Damu (BP).
 
Kidonge Cha Viagra 50mg ni kipimo cha kawaida Ambqcho Unashauriwa Kutumia Ukiwa unachukua Viagra kwa mara ya kwanza.

[emoji533]Kipimo Hiki Kinatosha Kutibu Tatizo La Kushindwa Kusimamisha uume[emoji533] na kuimalisha Ubora wa tendo la ndoa.
 
[emoji724]Madhara Ya Kutumia Viagra[emoji724]

[emoji92]Kukufanya Uwe Tegemezi la Viagra Bila Viagra Mambo Hayawi Mambo

[emoji92]Matumizi Makubwa na Ya mara kwa Mara Hupelekea au Humletea Mtumiji Upofu

[emoji92]Mapigo Ya Moyo Yasiyo Ya Kawaidaa

[emoji92]Kuganda Kwa Chembe za Damu

[emoji92]Mabadiliko katika Msukumo Wa Damu
 
Dalili Ambazo Zitatokea Kama Utameza Kiwango cha Juu cha Viagra(overdose)[emoji2410]

-Kutapika
-Kuona Rangi Ya Blue Machoni au Kutokuoa Kwa Mda
-Mapigo ya moyo kwenda kasi
-Kuhara
-Kusimamisha kwa mda Mrefu
-Maumivu kwenye Misuli ya Uume
-Kipata Shida ya Nevu ya Optic kitaalamu
 
Dalili Ambazo Zitatokea Kama Utameza Kiwango cha Juu cha Viagra(overdose)[emoji2410]

-Kutapika
-Kuona Rangi Ya Blue Machoni au Kutokuoa Kwa Mda
-Mapigo ya moyo kwenda kasi
-Kuhara
-Kusimamisha kwa mda Mrefu
-Maumivu kwenye Misuli ya Uume
-Kipata Shida ya Nevu ya Optic kitaalamu

tunaita (Optic neuropathy)
-Kufa Hutokufa Lakini Chaa Moto Utakiona Ukiwa Overdosage[emoji23]

Ukiwa Umetumia Dawa zaid ya Kipimo Unashauriwa Kutembelea Kituo cha Afya au Shehemu Yoyote Ambayo Unaweza Kupata Huduma za Afya za DharulaView attachment 2471373
 
Baadhi ya Dawa Zinazofanana na Viagra ni
-Vardenafil (Levitra)
- Tadafil (Cialis)

Dawa Hizi Hufanya Kazi Kama Viagra na Zina Madhara Kama Viagra

USHAURI:
Usitumie Dawa Hizi za Viagra Kabla Hujapewa Ushauri na Daktari ni Hatari[emoji40]
 
Bora udondoshe njiani. Watu mnaishi pamoja, mnacheka mnapiga stori halafu haohao wanakuzunguka wanakuibia inakera sana
Tena sana,kama mie siwezi kuficha khome kungekuwa kuna wizi ningeliaga kila leo maana vi chenji naviachaga tu,

Kuna best yangu aliingia chumbani akaniibiaga buku jero,nilikuwa nimeiweka kitandani,nikamchana live kuwa kachukuwa hela na kama angekuwa na shida angeniomba kuliko kujidhalilisha kwa vitu vidogo,
 
Ohoo unavyozielezea hizi dalili unaonekana kabisa unaexperience nazo πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸ™Œ
 
Mambo ya ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…