Lameck: habari
MIMI: Nzuri naongea na nani?
LAMECK: Unaongea na Lameck uliniacha Gerezani Singida
MIMI: Daah Kaka upo huru karibu sana uraiani
LAMECK: Ahsante sana kaka Mungu ni mwema
MIMI: Hivi umekaa muda Gani
LAMECK: miaka 6 Mahabusu, nimekutwa sina hatia