Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi mbona sijaona mzungu kwenye timu za mataifa ya afrika? Ama ni mimi naangalia nusu nusu?
Ni Economics mkuu. Timu za Afrika haziwezi kushindana na timu za Ulaya kiuchumi. Ndiyo maana hata wachezaji wetu wazuri wakipata nafasi ya kwenda huko Ulaya baadhi yao wanaishia kuchukua na uraia wa huko kabisa.

Mchezaji mzuri wa kizungu achukue uraia wa nchi ya Kiafrika ili acheze ligi ipi? Hata kama amezaliwa Afrika akienda kuutandika Ulaya ndo harudi tena na anachukua uraia wa ancestral land ya wazazi wake.

Ni sababu zile zile zinazofanya Waafrika waende Ulaya kusaka ajira (and not vice versa). Uchumi!
 
Huyu inabidi ajitahid mno usafi sio kwa hiyo mikunjo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nanyi vimbaumbau kwa roho mbaya, gubu na kusema wengine kha! Nina miaka zaidi ya 30 naendesha haya mayutongs...hayana shida hiyo na yanajua yakizembea hiyo sekta yanaharibu kila kitu...By the way hata vimbaumbau vichafu na vinavyonuka vipo kibao...

Nshapaniki tayari nisamehe. Never touch my yutongs pulizi


Mengine likitoa nguo kama siyo mzoefu unaweza kutoka nduki

 

Unaposema vimbau mbau tuna roho mbaya kwamba tunataman huo mwili ??
wewe mwenyewe ni bingwa kutukandia vimbau vimbau kwa hiyo na wewe una roho mbaya. Nimezungumzia suala la usafi nadhani tungeishia kwenye usafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mayutong yanatamani huo mwili? Na usafi ni suala la mtu binafsi tu hata vimbaumbau vichafu vipo kibao!

Na nimeshaacha kuvitania vimbaumbau maana as I am writing this kuna uwezekano 99.9% huenda naenda kuoa kimbaumbau chenye nyama (na mtako). Ni vitamu hatari!

Tuishie hapo na I hope hujakwazika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…