Kuna yule dem mbovu unakutanaga nae kila siku lakini kuna demu mmoja mkalii unakutana nae mara moja tu e.g kwenye daladala, kituoni, matukio ya hapa na pale etc. Ukishindwa kuomba namba au kumpa hata hi ndio basi tena hutokaa umuone tena mpaka unakufa