Mh @Nnauye_Nape
Kama ungekuwa unatumia hizi nguvu kulitetea Shirika letu la Simu @TTCLCorporation kuhakikisha wanasambaza FIBER zao ili Wananchi wauziwe Data kwa Gharama Nafuu ungeweka Historia Kubwa
HATUNA CHUKI NA WEWE
Tunataka Uwapambanie Wananchi na Sio Mitandao Ya Simu