Vituko mitandaoni. Tupia chako

Haaaaaaa


Tanzania yapokea mkopo kutoka ufaransa Bilion 361.7 Kwa kizalisha Nishati Kwa mashart haya
1.Watakuwa wana monitor uzalishaji huu maana wataleta wataalamu wao! Mapato hayatahojiwa naTRA/ Chombo chochote

2.Mkopo utoe fursa Kwa ufaransa kuwekeza Kwa Miaka 20 Kwa mashart nafuu
 
Duh! Kwenye huo mzigo tulio uzwa ukigawanya kwa milioni 60 ya raia mm ntapata sh ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…