Kesi namba 10 inayomkabili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake 8 imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mwanza kutokana na Shahidi ambae pia ni mshtakiwa Suzana Simon kutoletwa Mahakamani hapo na kuelezwa kuwa amesahaulika gerezani