Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo mengi mkuu tumevurugwa na bei za sembe huku kitaa paka kuamkia watu tunaona kama tutafulisika[emoji849][emoji849][emoji849] SHIKAMOO
Siitaki hiyo shikamoo yako mimi. Unaniita mkuu? Babu yako kabisa? 😳😳😳

Kweli maisha ni magumu. Na leo OPEC wametangaza kuwa wanapunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 2 kwa siku ili ku-create demand. Muda si muda mafuta nayo yataanza kupanda tena. Hakuna rangi ambayo tutaacha kuona aisee...
 
Hiyo shikamoo chukua tu maana siku hizi hazipatikani hovyo hovyo[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…