Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tendo linavyoombwa​

WAMASAI: Mama Yeyooooo, nipe ile kitu namesa mwensake !!!

WAHAYA: Mama Koku, infwacti njoo tu-perform !!!

WACHAGA: Mama Manka, Fungua Kibubu nitupie shilingi ndani !!!

WAPEMBA: Mama Hanzuruni, panua paja mti waja!

WAZARAMO: (hamna tafsida) Mama Mudii, andaa k*#, m*$$ yaja !!!
 

Chemsha bongo..​

(Majibu yanatakiwa)
1. Kama hela haioti kwny miti, kwa nini benki zina matawi?
2. Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa pombe, kwanini bar kuna parking?
4. Kama neno "abbreviation" linamaanisha ufupisho, kwanini lenyewe ni refu hivyo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tuu, Kwa nini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?
Kazi kwako…😊
 

Heshima​

Mtoto kaona nyeti ya baba yake,
Akauliza “nini hii”?
Baba,akajibu “ni Heshima”,

Kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, “toa heshima kwa wageni”,

Mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa!
Mtoto akasema “mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kuuubwa……!
 

Toothpicks​

Mama mwenye nyumba: jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?”

Housegirl: "mama, mie simo humo wala usinilaumu kabisaa, maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiaga humo humo.”

Mama mwenye nyumba: "Ebooo🙄🤔"
 
toto shenzi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…