Naona yeye na Mwalimu waligongana katika falsafa yao. Na Nyerere alikuwa hapendi watu wenye akili kumzidi au wenye fikra zingine zisizokubaliana na "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti" kwa 100%