Na mungu haiipendi hii, si kwa hatujui, tunajua saana, ila kwa kuwa tunaipenda zaidi dunia tunapuuzia, tunafanya matendo ambayo mungu katufundisha, ila hatupati kitu toka kwa mungu sababu ya utekelezaji.
Siyo vizuri kwa kweli. Kwa vile wanataka publicity basi angalau wangekuwa wanapiga picha nje huko na kusema tu kuwa leo tumepeleka msaada kwenye taasisi hii basi. Lakini hii kumpiga picha mgonjwa akipewa sijui pedi kusema kweli siyo kabisa!