Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sijui kwa nini hii misaada ya mikamera huwa inanikera. Ni kama kudhalilishana tu

View attachment 2286201
Na mungu haiipendi hii, si kwa hatujui, tunajua saana, ila kwa kuwa tunaipenda zaidi dunia tunapuuzia, tunafanya matendo ambayo mungu katufundisha, ila hatupati kitu toka kwa mungu sababu ya utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…