Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wanalinganisha bei ya mafuta hapa na Marekani, tukiwaambia walinganishe uhuru wa kujieleza hapa na Marekani wanasema ukiniparua nakukwaruza
, ukiwaambia walinganishe ubora wa katiba ya Marekani na hapa kwetu wanasema wewe mchochezi, tulinganishe wastani wa pato la mfanyakazi wa serikali ya Marekani na hapa kwetu basi.

Anyway sijui nilikuwa nataka kusema nini lakini ukweli ni kwamba #KatibaMpyaNiSasa
#mamaanaupigamwinginiuongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…