Na hapa ndipo wenzetu wanapotupiga chenga. Halafu wakikaa huko na kugundua chanjo zao oooh wanataka kutuua. Si maombi yatuponye sasa? Kila mtaa sasa hivi nadhani una nabii na mtume wake sasa shida iko wapi?