Vituko mitandaoni. Tupia chako

Red bull inakilevi?

Mbona nakunywa hata zaidi ya 5 nakuwa poa tu
Punguza. Itakuja kukuletea matatizo mbele ya safari - presha na shida ya figo na moyo....

Tangazo lake moja mashuhuri linasema "Redbull gives you wings" na walishawahi kushtakiwa kwa sababu watu walikuwa wanakunywa kweli wanajaribu kuruka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…