Khatwe,kuna vitu nimekula shule kwa wingi tena kwa kulazimishwa nimevichukia ni pamoja na ugali siupendi kabisa,pia kuna chuo nilisoma tulikuwa tunalazimishwa kula ule mkate mdogo na blueband ndogo mwenyewe kila siku kwa miaka miwili na kulazimishwa kula robo kg ya karanga mbichi kila siku 2yrs.Hivo ugali,mkate,karanga mbichi toka niwe na maisha yangu nakula kwa shida sana