Vituko mitandaoni. Tupia chako

.....wanaume tumeumbwa,
matesooo.....
kuhangaika!!!!!View attachment 2152059
Utaendaje kwa demu na huchangii expenses hata nusu? Matokeo yake ndo haya - kutoa macho mvunguni demu wa watu analiwa denda. Na jamaa hapo linaweza kumwinamisha na kuanza kumla na hakuna kitu utafanya...na uombe kikohozi kikubane! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mara chaga pwaaaa,
Unatenguliwa kiuno kimyakimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…