Mwaka 1979 baada ya vita ya Uganda kuisha Tanzania tulikuwa nahali mbaya ya chakula njaa ikaenea nchi nzima Mzee nyerere akaenda marekani kuomba msaada wakamwambia sisi huku maghala yamejaa chakula cha mifugo akauliza hiyo mifugo inakula nini akaambiwa mahindi basi akawaambia nipe tu akapewa mahindi yenye rangi ya njano na kijani, watu tulikula na kuipenda #Yanga yenye rangi
lakini kwa sasa wale tuliopenda Yanga kwasababu ya njaa tunajuta
!!!!!!!!
View attachment 2126820