Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hiyo ni kujipaka maji siyo kuoga
Wamekosa tu plan nzuri. Kuna nyumba nilikaa tulikuwa wapangaji nane na mwenye nyumba wa tisa, ilikuwa ukitoka na maji ukakuta mtu anaoga unamwambia ukitoka nishtue, unaacha maji yako unaendelea na mambo yako, akija mwingine hivyohivyo anakuambia unayefuata...hatukuwahi kugombana kwenye hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…