Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwaka jana, kwa wakati huu ambapo Krismasi imesalia siku chache, rafiki yangu mmoja alinitumia 200000Tsh na mtu huyo akapandishwa cheo kazini.
Muda mfupi baadae rafiki mwingine wa zamani pia kunitumia 250000Tsh na alipata visa na kuhamia USA.
Bado mwingine alinitumia 300000Tsh na akaolewa.
SIsemi unitumie kitu, BALI nataka ufikirie na ufanye UAMUZI sahihi!!

Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…