Sio kituko..
But you must know it..
Kwamba kuna watu nxt year december wataenda Qatar kula bata la kombe la Dunia.
...
While kuna watu walikufa katika harakati za kuwaandalia mazingira mazuri ya kula hilo bata.Na hakuna atakayejali...MAY ALLAH REST THEIR SOUL IN PEACE
View attachment 2022474