Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sio kituko..

But you must know it..
Kwamba kuna watu nxt year december wataenda Qatar kula bata la kombe la Dunia.

[emoji24][emoji24][emoji24]...

While kuna watu walikufa katika harakati za kuwaandalia mazingira mazuri ya kula hilo bata.Na hakuna atakayejali...MAY ALLAH REST THEIR SOUL IN PEACE[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…