Huko hakuingiliki kirahisi hivyo hasa kama ni RC. Sema tu sasa unaweza kuamka tu na kujiita Apostle au Nabii kabisa na uaskofu juu na makorokocho mengine. Hovyo tu!
Amepona. Si alikuwa JK Heart Institute huyu juzi juzi hapa akisema "Niko 70% perfect you know. Executive Suite kwenye Jakaya Cardiovascular Institute you know. Gharama sana kuwa kwenye Executive suite you know. Vijana chapeni kazi you know. American spirit you know
Nampenda kwa jinsi alivyoamua kuishi maisha yake ukizingatia familia aliyotoka - hata kama ni mtoto wa nje...
Binti yangu (9 yrs) aliwahi kwenda kusukwa kurudi home akawa analia. Kuja kumwangalia yaani nywele zimevutwa mpaka anapiga kope kwa shida. Niliamua tu kuzifumua aisee...
Binti yangu (9 yrs) aliwahi kwenda kusukwa kurudi home akawa analia. Kuja kumwangalia yaani nywele zimevutwa mpaka anapiga kope kwa shida. Niliamua tu kuzifumua aisee...
Kwa wazee kama mimi (70+), tumieni hii Super C ili kuimarisha immune system. Ina Zinc na Vitamin D safi sana na ni silaha inayopendekezwa dhidi ya Covid na vihoma homa visivyo na kichwa wala miguu. Vidonge 200 na unakunywa kakidonge kamoja deile (with food)