Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuku wa kienyeji wa kukaanga na ugali wa dona iliyochanganywa na ndz soya na ngano, na salo, majani ya kunde mchicha bwas vchanganywe vstiwe nyanya n karot na kitunguu swaumu. Ahhahahahahah na pilipili miiiiiingi
Vyote hivyo havifikii hata robo ya utamu wa nilichokiomba mimi [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…