Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni kweli, na ndio maana kila mtu anataka kuwa mtani wenu. Ila yule ndugu yenu sijui alikuwa msukuma wa wapi


Nataka zawadi yangu!
Ndugu yetu yupi?

Au yule aliyekuwa anaendesha mambo kama mzee wa familia - kwamba asemalo ndilo na hakuna wa kumshauri? Kama ni huyo tumwache apumzike salama na tumsamehe kwa mabaya yote na tumshukuru kwa mema. Maandiko yanatutaka tufanye hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…