Alinikera kwa sababu moja! Nilimkana mara 4 mfululizo na kumwambia sitaki shari na hapa JF kuna watu na nawaheshimu; na mara zote hizo alikuwa ananitukana! Kuepusha shari nikalazimika ku-log out!! Nilipo - login akaendelea na ile kusema kuna watu hapa nawaheshimu kwahiyo sipendi matusi; hiyo kwake akaona am a coward girl wakati post zangu zote zinaonesha am a man!:Nikafikia tamati ya ku-act ustaarabu mbele ya mtu asiye na chembe ya ustaarabu huku akidhani mdomo wake mrefu kila mtu anauogopa!