Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wewe unavyomuona amepatia kweli huo muonekano au amepuyanga ? . . Mdada huyo Kwa furaha amejitupa mtandaoni kupost picha za harusi yake, lakini tofauti na alivyotegemea kupongezwa, badala yake wengi wamemchambua kuwa hajapendeza wala nini na hizo make up, wengine wamemtupia vijembe kuwa labda make up hizo alipakwa na ex wa aliyemuoa. Pia wamemzodoa Kwa kumwambia nguo yenyewe hata haijampendeza. Wengine wameibutua hiyo keki ya Harusi huku wakienda mbali kumtungua jumla wakidai labda hiyo ndoa/harusi ilikuwa ya mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…