Kwa neema ya Mungu, utanikuta peponi tena kiti cha mbele kabisa karibu na mashujaa wa imani akina Musa na Eliya. Mfalme Daudi na mwanawe Sulemani watakuwa nyuma huko wakiwaelekeza nyie washirikina mliotubu mahali pa kukaa
Nikwambie kitu mjukuu? Mitandaoni humu (na kwingineko) wewe fanya kinachokupa furaha as long as huvunji sheria na mengine yote yaache. Leo utaambiwa meme ukiziwekea maelezo zinaboa. Kesho utaambiwa maelezo kidogo ndo vichocheo kunogesha nogesha. Huwezi kumridhisha kila mtu na wengine utaishia kuwakera tu hata ufanyeje.
Moral of the story: Do what you like ali mradi huvunji sheria. Tegemea kutopendwa na baadhi ya watu...na hilo lisikuumize kichwa kabisa kwa sababu ni kawaida tu. Umenisikia?