Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hahaa joyce ana lalamika kula ugali msiban uyu dada chiz hahahahaha au ndio mtani ila.kwan mchaga ma mchaga n mtani.? Mtani. Si mchaga na mpare na wale.watu waTanga
 
[emoji23][emoji23] yani kama natamani nimuone maana niko nje ya hii hospital hapa kwenye kituo cha dala dala za Butimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…