Dah, na obviously ni mara kadhaa huwa wanafanya hako ka mchezo.
Amemuharibu binti hasa hasa kisaikolojia, msichana ni mdogo sana hapo hataelewa kama analindwa bali ataona huyo mvulana anaonewa. Itahitajika counseling ya maana kwa huyo binti.
Nimesikia hasira mpaka mwili unanitetemeka, huwa sikubali kuwa na mfanyakazi wa kiume kwa akiwa baradhuli kama hivyo watoto ameshawatia kilema kibaya cha kudumu.