Unaweza kudhani mwanao yupo shule anaelimika kumbe anajaza madesa ya uongo kichwani, ni vyema wazazi tukae na watoto siku moja moja kupima uelewa wao tusiwe tunatupa pesa bure bila kufuatilia

Kabisa mkuu, unakuta katoto kanapelekwa chekechea huko za gharama kanasoma mpaka kanamaliza lakini bado kuhesabu hakajui, chenyewe ni kunywa uji tu na pilau