Huku Uswahilini kwetu kuna wahuni nilijaribu kuwafundisha Kiswahili, pale nawaambia nine ni tisa na eight ni nane wakaniambia eti 'it doesn't make any sense, nine should be nane
Ndo wanaenda hao,wakitoka huyo bibie ataondoka mwenyewe,njemba itarudi ndani nakusema"yes,imeisha hiyo,umenisumbua sana boya wewe",halafu anatiki kwenye list yake....
Ndo wanaenda hao,wakitoka huyo bibie ataondoka mwenyewe,njemba itarudi ndani nakusema"yes,imeisha hiyo,umenisumbua sana boya wewe",halafu anatiki kwenye list yake....
Wanaenda, kutoka bibie asingebebewa mkoba na most of the time kutoka hawaongozani karibu karibu hivyo yaani baharia angekuwa mita kadhaa mbele akienda mwendo wa fasta kama hamjui huyo mamsap.