Mbona huwa hivi, wanawake mtujibu, kunao hata baada ya kutumia nguvu nyingi kumfikisha ghetto, bado tena shughuli nyingine ya kuendelea kujibu maswali ili ndio afikie hatua za kukubali kuvua mavazi.....yaani mpaka ufike kwenye hayo mapaja mbona utakua umeimba mashairi kama yote.