Vituko mitandaoni. Tupia chako

Numbisa yaani nimecheka. Kuna dada ni nesi wa Hospitali ya Butimba (Nyamagana), mumewe alikuwa na mchepuko wake, wakazaa mtoto wa kiume, huyu dada hakujaliwa uzazi.
Mchepuko wa yule baba au niseme mzazi mwenzie alifariki kwenye ile ajali ya kivuko cha Ukara (MV Nyerere) yaani huy nesi alishangilia hadi kero!!!
Yaani alikuwa akikutana na mtu ambaye wanajuana alianza hivi: JAMANI NINA RAHA, NINA RAHAAAAAAAAAAA UWIIIIII...
 
Aiseeee wenzie wanalia yeye anafurahi,maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…