daahhh bro cheo kikubwa sana hicho hadi nimeshtuka 😁😁
in reality mimi sio msomaji wa vitabu , hata chuoni nilipoingia first year tena first semester ndio niliingia library na hazizidi mara kumi. Baada ya hapo ni hadi final year tena around time ya UE napo niliitwa
Hata venue nilikuwa sisomei unless kuna pindi au discussion, kiufupi mimi ni mvivu wa kusoma sanaaa and i hate it 😁