Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ila viongozi wa Afrika ufalme wa mbingu watausikia kwenye biblia, yaani baba Raisi kampa mwanae umakamu wa Raisi
View attachment 1872614
Theodorin Obiang wa Equitorial Guinea,Si vikwazo tu Ufaransa wameshataifisha na kupiga mnada majumba yake yote na Mabugatti yenye thamani ya Euro 150 milioni(B 300 na ushee),watu wana laana hawa,wananchi wake maskini haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…