Pathetic 🏃🏃Baada ya kusifiwaView attachment 1862792
Hii nchi imejaa viongozi wengi selfish sanaa. Hivi huyu leo amesahau aliongea nini?!
Wapi huko wanakokula nguzo waliochanjwa?Huyu nae keshaptata chanjo. Tusubiri matokeo. Nasikia kila anayechoma mwisho wa siku anakula nguzo.
Huyu hapa.Huyu nae keshaptata chanjo. Tusubiri matokeo. Nasikia kila anayechoma mwisho wa siku anakula nguzo.
4. Dada etu kipenzi Sarah