Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu Qwy leo ameamua.......naona dalili za kupigwa ban muda si mrefu.......ila umelichangamsha jamvi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Qwy naona ni kama vile ameshajiandaa kwa ban tayari [emoji16][emoji16][emoji16]. Ila ingependeza kama angezipeleka hizi kwenye lile jukwaa la warembo pengine ingependeza zaidi [emoji1734][emoji1734]

Huku kuna watu nawajua watakimbia muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…