Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna mwalimu wetu wa s/m alikuwa mkali balaa kuchapa,adhabu kali sasa juzi nimekutana nae msibani
nikamwambia shogaangu vipi unamkumbuka huyo
akanambia ndio lilishatumbuliwa hilo na magu...saizi linauza pombe matapitapu
ukali wote ule kumbe vyeti feki.... nyau yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…