Ni story ya miaka takribani 14 iliyopita, leo tukiwa kwenye sherehe za kipaimara cha mwanae Anne ndio akanikumbusha Ilikuwa hivi.... Baada ya ndoa huko kijijini mkoa mwingine jamaa alirudi Dar na mkewe na mamamkwe.Wakati huo jamaa akiishi nyumba ya kupanga ya vyumba vitatu hapa Dar, basi jioni...