Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee nilimkataza mzazi mwenzangu kuweka"Njiti",vile vya uzazi wa mpango. Alivyoweka kwa siri tu,mambo yaliishia hapo. Mie ilikua siku za hatari namwaga nje,na hapo tayari alishaweka,nani alikua anakojoa ndani?

Ndugu zangu,mwanamke akikuambia mambo ya uzazi wa mpango,juwa tu ushaanza kuchapiwa.
Mie nimewadanganya sana wake za watu wakachoma ma sindano
,so ilipokuja tu kwangu,nikapredict the future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…