Kipindi hicho ghetto langu alikuwa haingii mwanamke, baada ya kupakaziwa nilijiskia aibu sana, wiki iliyofuata nikaingia ghetto na mdada, stori yangu iliacha gumzo. Kumbe nilikuwa najaribiwa kama nafanya kazi.Na kuanzia siku hiyo ukaharibika...yaani ikawa kampa kampa hapa kazi tu kila anayejichanganya lazima umpelekee moto [emoji16][emoji16][emoji16]
My God [emoji15][emoji15][emoji15]
Nakumbuka zile taa za tubelight ndani kulikua na ivo vibati vikiwa coiled na wire
Tangazo hili likitangazwa misikiti ya Buza imamu unarogwa sio kwamba wanawake wataamsha waume zao[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My God [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangazo hili likitangazwa misikiti ya Buza imamu unarogwa sio kwamba wanawake wataamsha waume zao[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kitoweo!!Kijana wa mkoani akisubiria usafiri baada ya kutoka mawindoni kujitafutia kitoweo (Black Mamba/koboko)
Kama huna hela achana na wanawake, pambania pesa.Mwanamke mwenyew ni slay QueenView attachment 1817786
Hahahahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23] loh, wanawake nyie ni shida[emoji23][emoji23][emoji23]