Logic mkuu huyu jamaa ameona mbali kinoma natafsiri kwa wale mabashite kuwaKama kamera ya kwanza ilikuwa hivi je ile kamera iliopiga picha dunia ilikuwa ya namna gani wadau wa NASA!?
Upo wrong mkuu!hii picha ina maana hii"kama hicho kitu kilichopo kwenye picha ni camera ya mwanza duniani,ni camera ipi ilitumika kuipiga picha hiyo camera ya kwanza duniani?