Mkuu huyo dada alikua mbabe wazungu wenyewe walichoka maana alikia na akili kubwa sana harafu ni mwanamke ..ukitaka kujua ubabe wake ingia youtube ingiza jina queen Nzinga
Uhalalishe na mchepuko wako? Kivipi yaani? Mchepuko ndiye atakuoa wewe na ndume zingine kama 3 hivi mnamchangia...Leo analala kwa Joakimu, kesho kwa Jidulamabambasi, kesho kutwa kwa Ostaadh Omari. Utaiweza hiyo?