Vituko mitandaoni. Tupia chako

Umeona video zinazoonyesha kinachoendelea India? Zinatisha sana. Patashika hii ya korona madaktari wanavuna viungo vya vinadamu kama hawana akili. Hata wanasema si wote wanakufa na Korona. Wanakoboa Figo, moyo na kila kitu halafu unabebwa huko kwenda kuchomwa moto eti umekufa na Korona. Pesa mwanaharamu sana aisee...
 
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…