Vituko mitandaoni. Tupia chako

Dalili za virusi vya Corona kimsingi ni hisia zile zile unazopata wakati mke wako anaangalia simu yako... Kwa wale ambao utulivu ni sifuri.

Unaanza kuona ugumu katika kupumua

*Jasho jingi
*Udhaifu
*Maumivu ya kichwa
*Kuumwa tumbo nk.

*Na wakati anauliza Manka ni nani? Kikohozi kikavu huanza ghafla...
 
Hah hahaha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…