Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jizazi! Halafu bei yake sasa uwiiii !!!

Siku hizi mimi huwa nauliza kama ni portion ya kushibisha labda kama nikiwa na company
Mie huwa sileti uzungu kwenye kuagiza hata siku moja kwakuwa mie sie mtaalam wa vyakula.
Mtaalam anieleze vizuri tena kwa kiswahili kama ni hapa Bongo. Swali la mwisho je nitashiba. Hapo ndio naagiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…