Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asante mkuu. Hata kama aliamua kujiua mi simhurumii...
 

Attachments

  • VID-20210212-WA0035.mp4
    1,010.6 KB
Ina maana walimpiga tu picha halafu dogo wakamuacha bila kumpa msaada? Sasa naanza kuelewa kwa nini aliishia kujiua. Guilty conscious....
Yaani mpiga Picha alikua anataka kuchukua Picha ya dogo akiliwa na huyo ndege.

Huyo ndege alikua anasubiri dogo afe ili amle, wakati huo mpiga Picha alikua pembeni akishuhudia tukio na akataka atunze kumbukumbu hizo. Japo alikua na uwezo Wa kuokoa maisha ya huyo mtoto .

Alizituma hizi Picha akitegemea positive comments kwa kazi yake aliyofanya. Watu wakaanza kumshambulia kwa maneno makali na vitisho, akaona isiwe taabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…