Kiukweli mimi pia sijaelewa ila hisia zinaniambia anayezungumziwa kwenye hiyo barua ni pacha wakoNimecheka au nimekuzomea, kwahi wewe ulielewa mbona hukunyosha kidole ila ukacheka
Hahahaha njoo nikuambieKiukweli mimi pia sijaelewa ila hisia zinaniambia anayezungumziwa kwenye hiyo barua ni pacha wako
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Ukisusa wenzio twala
Ahahaha TAMISEMI huyu ndio atakuwa analala na mafile sasa.usingizi jamani sio poaView attachment 964671
Wapo kwenye matani,,mzaramo na msukumausingizi jamani sio poaView attachment 964671
hii ndo inaitwa changamoto
Hahaha walah umeniua mbavuWapo kwenye matani,,mzaramo na msukuma