Kwani uongo. Ila sisi walima kahawa tulishazoea kuuza kwa matajiri korosho watajiju maana ukisubiri pesa za KCU mpaka wagawane watoe faida na waitwe na RC ndo waanze kuzikusanya walikoziweka. Bra bra bra. Ndiyooooooooooo.
Jirani tutasamehana kidogo, gharama yangu pilau ndizi za kwa jirani ukinipeleka police nitawauliza" kwani ndizi zipo kwake au zipo kwangu? yeye ale mgomba uliopo kwake mi nakula ndizi zilizopo kwangu"